top of page
Search


USAFI
Vijana washarika wa KKKT Tunduma wakiendelea na kampeni yao ya usafi wa mazingira yazungukayo usharika huo. Kwenye picha ni baadhi ya...


AMA KWA HAKIKA HAWA NDIO VIJANA!!
Baadhi ya vijana wa usharika wa KKKT Tunduma wakiendelea na ratiba yao ya usafi wa mazingira kuzunguka kanisa, utaratibu huu hufanyika...


MNATETA NIN?
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana Usharika wa Tunduma EMMANUEL MWATWEBE(Kulia) akinena jambo na Katibu wa kurugenzi na malezi ya vijana wa...


UV PRAISE & WORSHIPM TEAM
Timu ya kusifu na kuabudu ya Umoja wa vijana usharika wa Tunduma wakiabudu na kumsifu Mungu katika mkesha wa kufunga mwaka ulioitwa THE...


IBADA YA VIJANA VWAWA
Vijana wa kanisa la kilutheri usharika wa Tunduma wakiwa kwenye ibada ya pamoja ya vijana wa usharika wa vwawa jimboni hapo (Vwawa)


ONLINE SEMINAL
The 12th & 13th of Feb this year
bottom of page