UV PRAISE & WORSHIPM TEAM
- depatrick2020
- Feb 10, 2022
- 1 min read
Timu ya kusifu na kuabudu ya Umoja wa vijana usharika wa Tunduma wakiabudu na kumsifu Mungu katika mkesha wa kufunga mwaka ulioitwa THE NIGHT OF VICTORY usiku wa tarehe 31-12-2021. Hakika ulikuwa ni usiku wa ushindi
Comments